MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

WATU 5 WAUAWA KATIKA KLABU YA BURUDANI

Watu watano wameuawa kwenye shambulizi la kigaidi kwenye klabu ya burudani katika mji mkuu wa Mali Bamako.............


Raia mmoja wa Ufaransa aliuawa kwa kupigwa risasi kwenye klabu hiyo iliyo kwenye mtaa ulio na shughuli nyingi.

Mwandishi wa BBC eneo hilo anasema kuwa raia wawili wa Mali polisi na mlinzi mmoja pamoja na raia mwingine wa Ubelgiji waliuawa barabarani na washambuliaji waliokuwa wakitoroka.


Walioshuhudia walisema kuwa watu wanne walionekana wakitoroka kutoka eneo la mlipuko ambapo mmoja wao alisikika akisema kwa sauti Mungu ni mkuu kwa lugha ya kiarabu.
Kutoka BBC
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment