MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

ZAIDI YA WATU 60 WAPOTEZA MAISHA NIGERIA

Zaidi ya Watu 60 wameuawa na kundi la watu wanaodhaniwa kuwa Boko Haama kaskazini Mashariki mwa Nigeria..............


Wakazi wa wanasema Wanamgambo wa kiislamu walishambulia kijiji cha Njaba katika jimbo la Borno alfajiri ya jumanne, na kuwaua Watu wakiwemo vijana wadogo.


Shuhuda mmoja katika kijiji hicho ameiambia BBC kuwa watu walilazimika kuyakimbia makazi yao na kuwaacha waliopoteza maisha, wamekuwa wakihofu kurejea
Kutoka BBC
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment