Kocha wa Mna U, Louis
Van Gaal, amefunguka baada ya kichapo cha bao 1-0, katika mchezo wake na West
Brom, uliopelekea mchezaji wake “MATA” kupewa kadi nyekundu.
Aliendelea kwa kusema
kuwa Kadi hiyo aliyopewa Mata, ndio iliyopelekea mchezo huo kuwa mgumu kwake na
kusababisha kichapo cha bao 1-0.
Pia alisema kuwa
mchezaji mwengine ambaye halishindwa kucheza kwenye kiwango chake ni Anthony
Martial, kushindwa kupeleka mashuti upande wa upinzani wake.
0 maoni:
Post a Comment