Wacheza tenesi Heather Watson na Kyle
Edmund wamefuzu kuingia raundi ya pili ya michuano ya wazi ya ufaransa.Watson,
alimshinda mpinzani wake Nicole Gibbs, kwa seti mbili baada ya kupoteza seti ya
kwanza kwa 5-7 kisha akashinda kwa 6-2 6-2.
Gibbs alikua anaongoza katika mchezo wa
kwanza uliofanyika siku ya jumapili ambao haukuweza kumalizika kutokana na mvua
kali kunyesha uwanjani na huu ni ushindi wa tano mfululizo kwa Watson.
Nae Kyle Edmund akaibuka kidedea kwa
kumchapa Nikoloz Basilashvili kwa seti tatu kwa ushindi wa 7-6 kisha akapoteza
kwa 6-7 na kumaliza na ushindi wa 7-5 6-1
BBC Swahili.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 maoni:
Post a Comment