Shere hizo zinafanyika katika mitaa ya
mji mkuu Asmara kwa bendi za muziki, wacheza ngoma na wasanii waliovalia kama
wanajeshi waasi waliopigana vita vya miaka 30 ya uhuru.
Watu wengi zaidi kutoka Eritrea huomba
hifadhi katika nchi za ulaya kuliko nchi yoyote ile ya bara la Afrika, na
inakosolewa pakubwa kwa ukiukaji wa haki za binadamu.
Lakini hata hivyo maelfu ya raia wa nchi
hiyo wanaoishi nchi za kigeni wamerudi nyumbani kujiunga na serikali.
0 maoni:
Post a Comment