QPR KUMSAJILI CARVALHO KWA MKOPO
Mchezaji wa Queens Rangers imeingia mkataba na klabu ya
Real madrrid ambao utamruhusu mchezaji Riicardo Carvalho
Kwa mkopo msimu huu.
Mchezaji huyo mwenye umri wa 34, na mchezaji kiungo wa
Zamani wa timu ya taifa ya ureno, anatarajiowa kujadiliana na
Klabu hiyo kuhusu malipo yake katika muda wa saa 48 zijazo.
0 maoni:
Post a Comment