WELBECK SIONDOKI MAN U
Mshambuliaji matata wa man u, Danny Welbeck amesaini mkataba
Mpya wa miaka 8 , na sasa atabaki katika timu hiyo hadi mwaka 2016.
Mchezaji huyo mwenye umri miaka 21, alifunga mabao 17kutokana na
Mechi 64 alizochezea Man u, na vilevile alishilikishwa kwenye kikosi cha
England kilichoshiliki kuwania kombe la mataifa Bingwa barani Afrika.

0 maoni:
Post a Comment