Vilabu vya soka barani ulaya
vimefanya usajili wa kumarisha vikosi vyao katika siku ya mwisho ya
usajili uliofungwa usiku wa kuamkia Septemba mosi.
Moussa Sissoko amesajiliwa na Tottenham akitokea Newcastle kwa pauni milioni 30, Leicester City wamesajili Islam Slimani toka Sporting Lisbon kwa pauni 29.
Stoke City wamemsajili Wilfried Bony kwa mkopo toka Manchester City, Samir Nasri nae amepelekwa kwa mkopo Sevilla toka kwa matajiri wa Man City
Mshambuliaji Mario Balotelli wa Liverpool amesajiliwa na Nice ya Ufaransa bure, West Ham wamsajili beki Alvaro Arbeloa toka Real Madrid,
Valencia ya Hispania wamesamjili kwa mkopo wa muda mrefu Eliaquim Mangala wa Manchester City, Nao Juventus wamemsajili Juan Cuadrado kwa mkopo toka Chelsea kwa mkataba wa miaka mitatu.
Jack Wilshere ametua Bournemouth kwa mkopo wa msimu mzima, Mshambuliaji Mkongo Dieumerci Mbokani asajiliwa na Hull City. Enner Valencia aenda Everton kwa mkopo hadi mwisho wa msimu kutoka West Ham.
0 maoni:
Post a Comment